@SimbaSCTanzania Hamasa imekosekana kabisa, wachezaji hawachezi kwa kujituma yaani bora liende tu..sifahamu kama wanaijua thamani ya club wanayoifanyia kazi! Kama kuna linaloendelea nyuma ya pazia ni bora kuweka wazi kuliko kusubiri mpaka maji yamwagike..msitufanyie hivyo bhana ππ³
@mshambuliaji Kuna nafasi moja imebaki pale bodi ya ligi @mshambuliaji nadhani ukiwa ndani unaweza kuboresha zaidi kuliko ukiwa huku mjini tweeter ππ
@Advocate_Jebra Pregnant girls should continue with studies after delivery..!? Nakumbuka kwenye topic kama hizi o-level nilikuwa natoa facts za kutosha kuwatetea dada zetu na kuibuka washindi, lakini sikuelewa umuhimu wa zile presentation hasa ninapowaona home wakisota ππ