@KennedyMmari@mchiziMonie Ukiwa shule/chuo kwa muda huo jukumu lako ambalo ni kama kazi yako ni kusoma, fanya kwa ubora pata GPA nzuri na ujuzi wa kutosha kwa muda huo. Kupata GPA ndogo ni ishara ya kushindwa kuwajibika kwenye kazi yako ya muda huo wa kusoma, hivyo vyote viende sambamba.
Ukikutana na maboss usivae cap ππ, interesting. Naombea wapwa wote tufike capacity kubwa to the extent kwamba unameet na country directors na unavaa kinjunga na cap tena cap unageuza nyuma π.
Lakini mambo ya nyinyi corporates ni ngumu huwaga ni kama mko na βWe set the standards.. your talent doesnβt really matter. Watch your steps, son.β MINDSET.
Kupanga ni KUCHAGUA yes. Mimi ndomana niliamua path ya βI plan to build influence and sell my own products rather than π
@gabyconscious Ukikutana na maboss usivae cap ππ, interesting. Naombea wapwa wote tufike capacity kubwa to the extent kwamba unameet na country directors na unavaa kinjunga na cap tena cap unageuza nyuma.
@automatiki ecosystem. Tena ningekua mimi ningekua interested for deeper explanations about root causes za hizo untapped areas especially kwa watu wanaofanya kazi kwenye local initiatives.
This is giving off Taarab vibes (Unless you two are beefing). As a leader, it is critical to address issues eloquently and with respect; dismissing a valid perspective by questioning someoneβs personal "relevance" or "building status" avoids the actual argument.
I donβt think you should talk about businesses people are building not being βbig-enough problem to make business senseβ if you have never built a big business yourself.
Founders are working hard to build. Let them build.
The day you build something relevant then you can talk.
@automatiki kwa ujumla ndo inafanya some angles are untapped. So nafikiri tungeelekeza nguvu kuona how tunasaidiana kuface hiyo reality ya kufill hizo gaps na si vijembe. Mtu anaweza asiwe founder ila akawa enabler, accelerator or hata costumer ambao wote ni crucial kwenye
Recognizing that a problem might not be "big enough" to make business sense isn't an attack on founders like you big boss; it's a valid analysis of market viability.
If you look at what @GIVENALITY mentioned keenly, his point is grounded in reality. In many African markets, "untapped" often means that while a problem exists, the infrastructure, purchasing power, or unit economics poses difficulties to solve profitably at scale.