@BeatusRwekaza@EduTalkTz Pigia mstari kabisa "wanafunzi wawekeze kwenye competence na wajue ufaulu ni sehemu ya ushindani katika soko la ajira. Tena inatakiwa kigezo cha kwanza kiwe GPA 4.0 Kwenda juu watu wawe siliazi" na inakuwa haina haja ya kuwafanyia usaili hao ni moja kwa moja kwenye ajira
@EduTalkTz@Ngowi_Inc Kwani kuna haja gani ya mtu kumufanyia usahili kwenye maswala ya ajira. Moja ya kigezo muombaji yeyote awe na shahada yenye sawa na nafasi ya kazi iliyotangazwa. Na ili upate shahada lazima ufaulu mitihani vizuri ya temu nane kwenye shahada ndo upewe cheti
@julip202 Atafute wafanya biashara wa ng'ombe za stock mtaji 7 M aanzie ng'ombe 10 tu then kwa mwaka mzima atafanya tathimin ya hiyo biashara kama itamfaa na atanishkuru.
@bohny_chengula Ubora wa simu zao kuanzia securiry, ustamilivu na udumu wa simu zako , eg unauwezo ukanunua iphone 15 leo ukatumia miaka hata kumi haikusumbui chochote kama unatunza vzr