The reason, Manaija wanfarm kutuliko, wanaturn on notification ya tweet. Ukitweet tu hivo. Mutuals wako wanaona notification, wanakimbia mbio Kwa hiyo post Kuengage.
Mimi naye nkifika kwa your timeline naona ni matweets tu zako hapo unatweet ukizilike na kujicomment na kujirepost, hapo natoka siaka!
Najua tu hapa nadeal na mwendawazimu๐.
We should engage each other. Logic!