H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania, was awarded the Degree of Doctor Honoris Causa by the Peoples' Friendship University of Russia (RUDN University) in Moscow on 4 June 2026.
The honorary degree was conferred by the Rector of the University, Professor Oleg Yastrebov, in recognition of President Samia’s contribution to advancing educational reforms, promoting human capital development, and strengthening Tanzania’s diplomacy and international standing.
President Samia received the award during her official visit to the Russian Federation, at the invitation of H.E Vladimir Putin, President of the Russian Federation. The honor also recognizes her efforts to enhance international cooperation, attract investment, and promote Tanzania globally across various development sectors, including tourism.
Halafu kuna Maria na walevi wenzake wanaosema sijui nchi za ulaya blah blah.. Waweke na vikwazo kwa ndege zao kuja Tanzania basi..
Tanzania utake usitake utakuja tu!.. Yaani wekeni vikwazo tunakwenda China na Russia📌
Matukio mbalimbali wakati wa hafla ya kutunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima (Honoris Causa), kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi- (RUDN University), Moscow nchini Urusi, tarehe 04 Juni, 2026.
Shukrani kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa neema na baraka zake, katika kazi ya kuendelea kuitumikia nchi yetu na watu wake.
Nimewasili jijini Moscow, Shirikisho la Urusi ambapo nimeanza ziara ya kitaifa kwa mwaliko wa Mheshimiwa Rais Vladimir Putin.
Pichani ni Trump na Binti yake Ivanka huko Osaka Japan na picha ya pili ni Ruto, mkewe na binti zake watatu huko USA, Marais wote wakiwa kwenye kazi zao Kitaifa. Ila Maria anashangaa Abdul kusafiri na Mama yake kwenda Urusi. Ugumba unamsumbua huyu Malaya wa Tarime.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi- (RUDN University) kutoka kwa Mkuu wa Chuo hicho Profesa Oleg Yastrebov kwenye hafla iliyofanyika Chuoni hapo Moscow nchini Urusi, tarehe 04 Juni, 2026. Rais Mhe. Dkt. Samia ametunukiwa Shahada hiyo ya Udaktari wa Heshima kutokana na mchango wake katika Mageuzi ya sekta ya Elimu, juhudi zake za kuimarisha Diplomasia ya Tanzania, pamoja na mchango wake katika kuimarisha hadhi ya Tanzania Kimataifa ikiwemo kupitia sekta ya Utalii,
Haya mambo kuna watu yanawaumiza sana.. Yaani wanaharakati wanaumia kweli kweli..Yaani hawapendi kabisa hikuona hivi.
Lakini vumilieni tu maana 2030 siyo mbali 😂
ZIARA YA RAIS SAMIA NCHI URUSI
(SIKU YA PILI) 📌
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi- (RUDN University) kutoka kwa Mkuu wa Chuo hicho Profesa Oleg Yastrebov kwenye hafla iliyofanyika Chuoni hapo Moscow nchini Urusi, tarehe 04 Juni, 2026.
Rais Mhe. Dkt. Samia ametunukiwa Shahada hiyo ya Udaktari wa Heshima kutokana na mchango wake katika Mageuzi ya sekta ya Elimu, juhudi zake za kuimarisha Diplomasia ya Tanzania, pamoja na mchango wake katika kuimarisha hadhi ya Tanzania Kimataifa ikiwemo kupitia sekta ya Utalii,
#KigogoMediaUpdates
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akicheza ngoma na Wanafunzi Watanzania wanaosoma katika Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi- (RUDN University), Moscow nchini Urusi, tarehe 04 Juni, 2026.