@elephant2030@IAMartin_ Unaongelea nini hapa? Au huo waraka wa balozi hujauelewa. Kingereza kigumu hata Mimi naweza nikawa sijaelewa ila wewe hujaelewa zaidi. Kuna ras Simba mcheki anasaidia sana watu
@magnito_el@siadevinci@ngwalenjekileti Kitu watu wengi hatuji ni kwamba UKIWA vitani roho mbaya pekee ndio inavyo kufanya urudi nyumbani mzima. Sasa chukua roho mbaya 6000 na roho mbaya 1000 piga hesabu hapo. Vitani sio utii tena ni matendo ya roho mbaya Tu. Mipango na utii ni UKIWA platoon
@magnito_el@siadevinci@ngwalenjekileti Nimeelewa. Tuseme kila mwanajeshi mmoja anabeba AK 47 na magazine za ziada 4. Yule ana wanajeshi 1000 (single battalion) na huyu ana wanajeshi 6000 (6 battalions) wakianza kushambiliana yupi ataishiwa silaha mapema?
@BusesNation Hapo Kuna torque kubwa sanaaa kwenye hiyo gari tukiachana na jiko Hp460 kitendo Cha engine kuwa Karibu na final drive kinafanya gari isipoteze nguvu haraka
@djnsajigwa Kwa wale walisha endesha gari kwa kupokezana masafa marefu wataungana na Mimi. Ukifika hatua ya kuchoka Huwa mnachoka wote. Hakuna Cha dereva kapumzika na anae endesha