°Journalist with cold blood🤓
°Television and Radio Editor, Producer and °Presenter plus Analy👁
°Yanga, Chelsea, PSG, Inter Milan, Real Madrid, Lakers, 👊⚽🏀
#KijiweniFoleni
Sam Nujoma, Morogoro na Mandela Road zote zimefunga, zinapokutana Daraja la Kijazi Ubungo.
Kama ni mnywaji tafuta Pub upumzike.
✍️@marcokilo2#KijiweniKwangu
#KijiweniMsiba
Master Tindwa.
Nilibahatika kufanya naye kazi miaka 10 iliyopita wakati akiwa Capital Fm kabla ya kuhamia @clouds_media
Wengi wanajua ni mchambuzi mpya, ni mkongwe katika tasnia na nyota yake ndio ilikuwa inang'ara.
Roho ya Swahiba ipumzike pema.
✍️@marcokilo2
Unakikubali chama gani cha siasa nchini?
Maoni yako yatasomwa LIVE kwenye EATV SAA1 na JOHN LUPOKELA
EATV SAA1
Kila Jumatatu – Ijumaa
1: 00 – 2:00 Usiku
Tunapatikina LIVE katika mitandao yetu ya kijamiii kwa anwani ya #EastAfricaTV#EATVSAA1#UtajiriWaHabari
Usikose kufuatilia #Mjadala kupitia #EATV ambapo tutajadili kama Deni la Taifa bado ni himilivu.
Ni kuanzia saa tatu usiku. USIKOSE
Cc @kafulila_david@exaudwamtei
Unafikiria nini ukisikia deni la Taifa limeongezeka?
Maoni yako yatasomwa LIVE kwenye EATV SAA1 na SAMSON CHARLES
EATV SAA1
Kila Jumatatu – Ijumaa
1: 00 – 2:00 Usiku
Tunapatikina LIVE katika mitandao yetu ya kijamiii kwa anwani ya @Eastafricatv#EATVSAA1#UtajiriWaHabari
EATV SAA1 LEO MARCH 21, 2025 NA TAJIRI EXAUD MTEI
Utajiri wa habari wa EATV SAA1
Tukiwa tunamalizia wiki ya utajiri wa habari hapa EATV,
Utajiri wa habari unatokea mkoani Rukwa ambako Tajiri Amos Wilson amekutana na MZEE MAGAUNI MWENYE utajiri wa WAKE 14 NA WATOTO 103.
SWALI LA SIKU
Je! Utaratibu wa utoaji wa leseni za udereva wa magari una mapungufu nchini Tanzania?
Maoni yako yatasomwa LIVE kwenye EATV SAA1 na EXAUD MTEI,
EATV SAA1
Kila Jumatatu – Ijumaa
1: 00 – 2:00 Usiku
Tunapatikina LIVE katika mitandao yetu ya kijamiii kwa anwani ya @Eastafricatv
#EATVSAA1
#LENZI
#UtajiriWaHabari
Nguo za mtu mwenye Ualbino zaibwa,
Je, wizi wa nguo za marehemu unahusiana na imani za kishirikina, au ni tukio la kawaida la uhalifu?
Maoni yako yatasomwa LIVE kwenye EATV SAA1 na EXAUD MTEI
EATV SAA1
Kila Jumatatu – Ijumaa
1: 00 – 2:00 Usiku
Tunapatikina LIVE katika mitandao yetu ya kijamiii kwa anwani ya @Eastafricatv
#EATVSAA1
#LENZI
#UtajiriWaHabari
#HABARI Dereva bodaboda anayefahamika kwa jina la Dickson Chacha(24), aliyekuwa mkazi wa Mtaa wa Machimbo kata ya Kipunguni jijini Dar es Salaam, amefariki dunia kwa kupigwa akidaiwa kuiba mayai matatu kwenye moja ya nyumba inayofuga kuku wa mayai kwenye mtaa huo.
Mama wa kijana huyo ameomba vyombo vya sheria kuingilia kati ili haki ya mtoto wake iweze kupatikana kwani waliotekeleza tukio hilo wanawaona mtaani wakitamba kuwa hawawezi kushindana na watu wenye pesa.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Machimbo, Evana Isaya amekiri tukio hilo kutokea mtaani kwake, akidai kuwa kijana huyo aliingia kwenye nyumba ya watu usiku hivyo akashambuliwa hadi kufikia umauti wake, huku akiomba wananchi kutojichukulia sheria mkononi kwa matukio hayo.
#EastAfricaTV
ELFU 30 KUPATIWA ELIMU DHIDI YA VITENDO VYA UKATILI.
Zaidi ya wananchi elfu 30 wilayani Kiteto mkoani Manyara, wanakusudiwa kupatiwa elimu ya kukabiliana na vitendo vya ukatili vinavyoendelea kujitokeza ndani ya jamii vikiwemo ukeketaji.
Wakizungumza na KURASA wananchi wilayani wamesema, wanaume wangeshirikishwa kikamilifu vita ya kupinga vitendo vya Ukatili ukiwemo ukeketaji vingeisha.
#EastAfricaTv #KURASA