@marcochali aliwahii kuimbwa kama mtayarishaji bora wa music akichukuwa mikoba ya master j akafanya vizuri kwakufanya hit kibao, wakati anaanza career yake alipata confidence zaidi alipo fanya hit yake yakwanza mwimbo ulikuwa wa CHELEA MAN- msela (2006-2007)
Baada haya hapo mwamba aliendelea kupambania ndoto zake mpaka alipokutana na mj @masterj (2008) nakuanza kufanya kazi na mj hapo ndipo aliwafungulia njia wasani wengine kama KING ZIZI,quik rocka na sha, alikuwa na manikiyo sana,
Licha yakiwa best producer ila pia alikuwa naimba kwa level na quality yajuu kabisa alishirikishwa na Godzzilla,professer j nk,
Baadae marco chali aliandaa album yake inayoitwa ONA ambayo ilitoka miaka mitatu iliyopia kwangu mimi nimoja kati ya album bora kusikiliza
Kuanzia production,uwasilishaji,mpangilio wamaneno,ujumbe na zaidi ya yote ni sound(aina ya mziki aliouimba humu)
Mimi nikijana mdogo sana but natamani nikipata watoto niwasikilizishe hii album na wajukuu zangu pia maana sitakuwa nakujitetea maana ni pure music.