@IamGabby_01@Tafreyy Shida ya watu kama hawa wanahisi huyu jamaa ni nabii kwamba kila akiweka wanataka washinde wakiliwa wanaona wanadanganywa. Hii ni betting kuna loss and win side.
@intro_martyne@KeEquityBank That is not family's company, mfiwa ni wewe mke ni thirdpart thus why amepewa ruhusa ya siku ya mazishi. Your ego will destroy your wife's
@sharifu47236@samuelmway Plus hii issue ni nzuri hata kama watawaunga watu wao wewe zingatia tu kwamba hao 10 kila week wanalipa hela ya so hao wengime watakuwa wanawanyonya wao na sio wewe