Na vile nimekaa nikaona ,hapa hakuna kuponea wazee. All the precautions we are taking,appear to be pointing us back to what we are avoiding. Unawacha Pombe usichome maini ukufe,unaenda kwa juwis unapata Diabetes,unakatwa miguu unakufa. Unawacha juwis usipate diabetes unakunywa chai moto,unapata cancer ya mdomo unakufa. Unajaribu kuwacha kunona juu obesity itakuua,unaingia gym unainua chuma mshipa inafura inapasuka unakufa.
Unawachana warembo wa klabu wasikuwekee mchele ukufe,kumbe kanisa ndio retired Hoeligans wako. Wanakupatia ukimwi unasafiri. Sasa vile iko ni kila mtu achague mkuki yake. Wa kuvuruta bangi wavuvurute,wa usherati wapige,wa kamnyweso watetemeke msuri,wa kuweka unga kwa mapua waweke,na wale wa kupaka unga kwa sehemu za siri pia waweke. Let us not judge,because we are all dying. There is no escape