@HildaNewton21 Legeza hasira za harakati, uchaguzi umeisha tukuone mjumbe uliyekomaa na uko tayari kukijenga chama sasa, izo KEJELI achana nazo, muda ni mchache wa uchaguzi mkuu. Sio wakati wa kusimanga wapiga kura
Naelewa watu wana matatizo mengi, naelewa watu wanapelea mahitaji ya lazima kabisa ya maisha, naelewa watu wana kila sababu ya kutokuwa na amani ya moyo ila niseme tu ukweli usio na kona kona, watu wasipotafuta njia ya kuwa na furaha katika hali yoyote waliyonayo katika maisha na kusema โNgoja mpaka nipate hiki na hiki ndo niwe na furahaโ watu wataishi maisha ya huzuni mpaka kifo.
Hakuna anayeamini amepata vyote anavyohitaji hata tajiri wa dunia. Nasema tuu.