Are you planning on moving to a different Office, Apartment or House and you’re wondering how you will get your stuff there?
Don’t worry MALIMA MOVING SERVICES (MMS) we are here for you, serving you with Affordable, Fast and Reliable services.
Currently in Dar!
#TwitterGulio
Another venture of ours. Check us today for anything landrover. From cars to spares, Defender, Freelander, Rangerovers and Discovery. Check us today LandRoverTitans
In Houston rich dudes are having “bottle wars” meaning they buy expensive liquor and instead of drinking it pour it out to flex on other dudes in the club.
🚨Festival of Motoring, Hili ni Tamasha la Vyombo vya moto ambalo huwa linafanyika South Africa..
.
NI kama Nyamachoma festival ya mitandao salama, sema hapa wadau wa magari [car enthusiast ]wanakutana..
.
Hapo unakuta kuna innovators, engine tuners, racing competition, upgraders wa magari, drifters nk..
.
Sasa kwa 2023 limefanyika mwezi huu 25-27/8 na moja ya tukio kubwa ilikua ni showcase ya Suzuki Jimny..
.
Hii ni ile Suzuki Jimny ya 5 door ambayo bado haijaingia rasmi sokoni..
.
Bei yake official bado haijajulikana pia ila soon official bei itajulikana..
.
Hii gari imeongezewa milango miwili, seat za nyuma na boot ya mizigo pia imeongezwa..
.
Urefu wameongeza 340mm na imefanya gari kuwa na urefu wa 3.955mm..
.
So kuna space imeongezeka ila sio kubwa sana na nyuma wanakaa watu wawili tu..
.
Kwa familia hii gari haifai, yani hapo ukiwa wewe mkeo Mwanao mmoja na msaidizi wa kazi shughuli imeisha..
.
NImetaka kumuita msaidizi wa kazi Beki 3 nikajiuliza kwanini walimuita hivi 😇..
.
Kuna mwamba akanambia number moja baba mbili mama tatu yeye katika hio team bado natafakari hapa😎..
.
Anyway turudi kwa Suzuki Jimny, hii machine engine ni 1.5L engine sawa na 3 door..
.
Though wataalamu wanasema kwa kuongezeka uzito na engine kubaki ile ile gari itakua nzito kidogo..
.
Na unatakiwa kujua hizi gari hazijawa designed kwa ajili ya speed kubwa, hivi ni vya kutumia njia korofi..
.
Kama ni mtu wa highway kulala Chalinze chai Segera chakula cha jioni Karatu achana navyo bora hata ununue Premio..
.
Kwanza Hii ikiwa auto itakua na 4 gears, Manual ndo ina 5 gears Transmission..
.
So kama mzigo upo chukua zako Manual then pambana, na ndani imekaa utamu sana..
.
Infotainment yake imekula upgrades za kibabe same to dashboard iko poa sana..
.
Ngoja gari ije kwanza ikija we will get a chance to have a more detailed review..
.
Kama kuna gari unahitaji taarifa zake kwa undani i mention hapa the same will be shared kwako..