Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akitembelea mabanda ya Maonesho ya vijana wabunifu na wazalishaji wa bidhaa katika Maonesho ya Kilimo Nanenane ambayo Kitaifa yanafanyika katika viwanja vya Dkt. John Samuel Malecela,Jijini Dodoma leo 8/8/2026
AHADI YA RAIS SAMIA YA SHILINGI BILIONI 200 YAANZA KUTEKELEZWA, VIJANA WAANZA KUPOKEA MITAJI.
Shilingi Bilioni 200 kwa ajili ya kuwawezesha vijana kiuchumi imeanza kutekelezwa rasmi kupitia Programu ya Mikopo ya Shilingi Bilioni 200 chini ya Mfuko wa Maendeleo ya Vijana
yupo mkoani Arusha kwa ziara ya kukagua uharibifu uliojitokeza kufuatia vurugu za Oktoba 29, 2025.
Katika ziara hiyo, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ameambatana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amosi Makalla
WAZIRI MKUU AKAGUA UHARIBIFU KITUO CHA MAFUTA CHA TOTAL
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 30, 2025, amekagua Kituo cha Mafuta cha Total kilichopo Maji ya Chai ambacho kiliharibiwa kutokana na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025, mkoani Arusha.
Mheshimiwa Dkt.Mwigulu