Alijifanya bodaboda ili awe ananibeba kumbe hakua hata bodaboda alikua kila akiniona yeye peke yake kijiweni anawasha boda ananifata kumbe kashawapanga wasinikimbilie 🤣 basi ikawa napanda yake tu wiki ya kwanza hatukuwa na maongezi wiki ya pili akaniomba namba ili niwe namwambia
Mwandishi wa Habari wa Ivory Coast Mamadou Gaye amefanya shambulio kali dhidi ya nchi tatu za Afrika Mashariki (Kenya, Tanzania na Uganda) zilizopangwa kuandaa AFCON, akitoa shaka waziwazi kuhusu uwezo wao wa kufikia viwango vya mashindano hayo katika mahojiano na uongozi wa CAF.
Anasema:
"Mashindano yanayofuata yatafanyika nchi 3 za Afrika Mashariki, ambapo tayari nimewahi kufika huko. Hakuna barabara ndani ya nchi hizo. Baadhi ya wafanyakazi wenzangu kutoka Afrika Mashariki waliniambia kutoka nchi moja hadi nyingine inakuchukua mpaka siku 2 kuendesha gari.
Mimi na wenzangu wengi tunawasiwasi mkubwa juu ya hili.
Kumbe 98% is not always greater than 2%. Mlivyowa-cancel hao jamaa - shwaa. Mtu anapost madini, watu wanapita kama hawaoni. Ni kama wanajiongelesha. 😂😂😂
SAUTI zao zina influence kubwa, lakini huwa hawazitumii kupiga kelele pale wananchi wanapopitia magumu. Hukaa kimya au kutembea na script ya serek-asali. Ndiyo sababu ya wananchi kuwapuuza na sanaa zao, siyo kwa sababu ya kukipenda chama chenu.
Hey, kila mtu anayo haki ya kushabikia chama lolote, lakini issues zinazolikera Taifa zapaswa kumkera kila mtu mwenye nafsi hai regardless ya chama lake.
Ukweli mnaujua, lakini mnaupindisha.
Wanachadema na Wanaharakati Uchwara, mnafahamu kuwa Viongozi wenu wako kwenye vikao vizito sana vya kumpindua Lissu akiwa Jela? Tukiwaambia viongozi wenu ni wapigaji mnabisha sasa wameamua kushirikiana na mfumo ili kumpindua Lissu waendelee kuvuta maokoto. Wamemtelekeza mwezao jela sasa wanamuondoa madarakani kabisa, atatoka mwakani akiwa sio mwenyekiti tena. Walewale waliwahi kujaribu kumpindua FAM akiwa jela kwa Ugaidi ndio wanaopanga mapinduzi dhidi ya Lissu. Mlindeni Lissu na uenyekiti wake kwapamoja!
"Viongozi wengi wa Afrika huenda kutibiwa na kufia nje ya Afrika wakitafuta matibabu yaliyo bora. Wakati huo huo wakisimama majukwaani husema wameleta mageuzi makubwa kwenye mahospitali nchini mwao."
~ Mchambuzi wa Citizen TV, Msiba wa Raila.
Namna SC TAL anacheza hii game kufa na kupona, uwanja wa ugenini wenye mbigili, refa wao, shirikisho lao, mashabiki na uwanja wao, isipokuwa aliyeambatana na SC TAL, ni Mungu pekee; naye akamlinde wakati wote wa mchezo huu 🙏🏽
Binafsi mkuu wa mkoa wa Njombe huwa ananikwaza sana anavyoponda vijana wa kitanzania kukimbia vijijini na kusema wachina wanakimbilia fursa vijijini. Hivi unawezaje kuturinganisha sisi na wachina..? Hao wamekuja wamepewa mitaji na serikali yao lazima waje vijijni huko,tupeni na sisi mitaji,tuwekeeni miundombinu,tuhakikishieni soko la mazao yetu muone kama tutakuja Dar es salaam kuuza sigara stendi. Mnatusimanga na hamjatuwezesha. 🤷🏾♂️
Mkoa wa Kagera unazalisha ndizi na kahawa na Chai ila hatuna a specific organ inayofanya research kwenye Magonjwa ya Migomba, mnyauko imeingia wanachi wanataabika sana, Kuna mikahawa ya zamani mashambani tungekuwa na coffee Institute ikasaidia mbegu bora
Viongozi wanawaza senene