@prossoff Ni kweli mapenzi sio pesa Ila ikikosekana yanapungua,Kwan Ukweli mchungu hata kwenye uchumba/ndoa ndoto za mafanikio ya kipesa mnaweza panga wote eti tutafute Ila kiukweli mwanamme ndo mtafutaji pekee so hatuna excuses,Money is not everything but everything needs money.