MICHAEL ATALIO SANGA ( MIKE ATILIO ) SHUJAA WA MAPINDUZI YA VIDEO NCHINI ASIYE IMBWA.
Ukizungumzia mapinduzi ya music video nchini huwezi kuacha kumtaja Mike Atilio na kampuni yake ya “Mike Rentals”
Kutokana na camera na vifaa vingi ni gharama sana na music directors wetu wengi kushindwa kuvinunua basi hapo ndipo mchango wa jamaa unaonekana kwani bila kuanzisha kampuni ya kuazimisha vifaa vya production nchini huenda bado tungekuwa tunaenda South Africa.👇