Watu wakikucheka leo kwa kupanda chumvi
Kesho watakuja kununua mazao kwako
Wakati wako wa mafanikio ukifika, hata chumvi ukiotesha inaota
Endelea tu kufanya kazi kwa bidii
Mungu anabariki juhudi, sio mazingira.
Kazi ni Kazi mradi iwe halali
Hali ngumu si kisingizio cha kutokuzaa matunda
Kama huu mpapai uliopanda jabalini wewe pia unaweza
Mizizi ya imani ikishikilia mwamba, mvua ya baraka itakunyunyizia tu
Mtangulize MUNGU. Ongeza bidii
Good Morning ๐ ๐
Kisu kilichopakwa Asali, akipotezi makali yake
Tamaa yako isikuponze ukapoteza Ulimi wako
Kumbuka kuna Watu ukiwapa nyama zote bado watakuuliza kwanini umebaki na mifupa
Ishi na Walimwengu kwa Akili
Good Morning ๐ ๐
Ubaya Mwingi wa machoni unaanzia moyoni
Hivyo kuwa makini
Most of the evil you see with your eyes starts in the heart
So be careful
Good Morning ๐ ๐
Ni Baba tu anayeweza kukaa macho hadi saa 2 usiku, kuamka saa 11 asubuhi
Akiwa hana pesa, akiwa amechoka kisaikolojia, akiwa na madeni, akiwa peke yake, na bado anatabasamu na kuamini kwamba siku moja kila kitu kitakuwa sawa
Huo ndio ujasiri ambao Baba tu
ndiye anauelewa
Ujumbe huu ni wetu Wababa