Hakikisha kwenye Upambanaji wako hukosi vitu hivi vitatu
1. Nidhamu Ya Pesa (Money discipline)
2. Uvumilivu (Patience)
3. Bidii ya Kufanya Kazi
Good Morning X Family
🎂🎂🎂Kila hatua unayovuka kwenye maisha yako ni historia, usiiwaze sana jana jali kesho yako itakuwa vipi, lengo ni lilelile KUTIMIZA NDOTO. Happy birthday to me