Hello wapenda usafi ,Fancy cleaning solution Tunapenda kuwashukuru kwa support yenu na kutuchangua kua suluhisho bora la bidhaa za Usafi kwenu,Tumeboresha package na Lebo,Kuanzia Sasa Bidhaa zetu zitapatikana katika muonekano huu,kuanzia lita moja na jumla tunauza .
Leo nimeongozwa na kijna mmoja ambaye ofcoz alinikuta sina mood nzuri na kaniharibia kabisa mood
Kaniambia Dada Mambo nkamwambia poa
Mzima nkamwambia Mzima
Unaenda wapi Hupaswi kujua sema shida yako nifanye mambo mengine.
Kwakua una haraka naomba namba tutawasiliana, nikamwambia sina simu nimeicha hm naomba nauli niifuate au nikutajie namba kaka nipa elfu ishirini nikakapa namba
Nikamuuliza unakazi gan Dogo kasema Me ni mwenyekiti WA UVCCM Kwa hivo sina shida ndogo ndogo nikashangaa
UVCCM CHAIRMAN WANALIPWA NGAPI? 😅
Mtoto wa damu za Watanzania. Mtoto huyu anatakiwa aitwe kifo.
Walipelekwa nje na CCM na kulipiwa IVF. Hakuna kazi aliyofanya Whozu ili mtoto kupatikana. Ni Watanzania kutekwa, Kuuawa alafu Wena kuwaunga mkono wauwaji through it all ndio kumemleta huyu mtoto duniani.
Huyo mtoto kapatikana kwa kodi na damu za Watanzania.
Habari ni nyingi ila sitaki kuandika habari ambazo hazina mantiki kwenye kudai haki.
Dah ila binadamu, Wema kaunga mkono mauaji ya watoto wa wanawake wengine ili wauaaji wa CCM wampe yeye mtoto.
Sio Mtu Wa Mamipira Kiivo ila Tuseme Ukweli, Marekani Haitakiwi tena Ku-Host Hii Michuano Ya Kombe La Dunia.
Ndio Naamka Hapa, Acha Nijipendelee Kabisa Kabisa Kabla Hawajaunga Mboga Humu Ndani.
Mipango Yetu ikajipe Na Leo😎🙌🏾.
Watu hawafuati creators kwa sababu wana content nyingi.
Wanafuata creators wanaowafanya wajione sehemu ya movement.
→ Build identity.
→ Build belonging.
→ Build community.
Hapo ndipo bidhaa zinaanza kuuzwa naturally.
PS— 2026 is definitely the year of doing GREATNESS.
#TajiriLaKihaya
Kama wewe ni Follower wangu mpya, fahamu ya fuatayo kunihusu;
Mimi kwanza kabisa ni #TAJIRI, tuki engage saana usijisahau - muda wote fahamu una engage na tajiri ambae ana heshimu kila mtu na hana ubaguzi💯
Mimi ni MSOMI nina degree mbili zote kutoka nje ya nchi💯. Ila kuna muda naingia online bila akili zangu kabisaa kwa hio usichanganye…
Mimi ni MHAYA, na kama ujuavyo wahaya tunapenda SIFA saana… kwa hio usianze kuniambia kwenye comments ‘acha sifa au jamaa unapenda sifa’
Faham kwamba sifa ni mm na mm ni sifa💯
Mimi SIO CHAWA wa chama chochote kile… na amini katika mawazo huru! Nasimamia nacho kiamini hata kama nitabaki mwenyewe!
Uki ni Follow na FollowBack papo hapo… siamini katika kua na shabiki… wote ni wamoja💯
UkiComment kwangu lazima nita LIKE na ku Reply…usijisahau na fanya hivyo kwa wote!
Ukiwa follower wangu, kuna muda utafurahishwa na post yangu na nikuhakikishie kuna muda pia lazima utachukizwa, maana mm sifati mkumbo na post nachokiamini mm binafsi ni sahihi💯
Mimi saa hizi nipo in a serious Relationship na MSAFWA… comments kwenye posts za ma manzi nimeacha kabisaa na DM nmefunga…
Ukinitext DM nisi reply usikasirike, tuendeleee ku engage kwenye timeline.. ya DM yakaushie…
Nmesahau nini?
Hebu mueleweshe follower mpya kuhusu #TajiriLaKihaya hapo kwenye comments👇🏽👇🏽👇🏽