Nchi nyingi zinazoongea kwa kuwa na active ultras wengi ni za Ulaya. South America na Africa zikifuatia...
Ligi za Germany, Italy, Netherlands, Czech, Serbia, Argentina, Turkey, Scotland, Egypt & Croatia ndizo zinatajwa kuwa idadi kubwa ya ultras...
Nifollow....>
Mara nyingi Ultras hutumia mabango flani yenye jumbe tofauti wakiwa uwanjani na mabango hayo hujulikana km TIFO...
Kwenye tifo huwa kuna message tofauti km za kujaza morale kwa wachezaji, kukejeli wapinzani, kuunga mkono movement fln za team au kijamii, etc...
Alicheza kwenye clubs ndogo za Ureno km vile Belenenses na Rio Ave kama kiungo wa kati mwaka 1980 mpk 1987 alipostaafu na kuanza career yake km kocha...
Usisahau kunifollow....
Next: Part 2
1. José Mourinho hakucheza mpira kabla ya kuwa kocha❌
Tofauti na watu wengi wanavyodhani, ukweli ni kuwa Mourinho alicheza mpira (professional) JAPO hakuwa mchezaji mwenye jina kubwa na aliwahi mno kustaafu.. Alistaafu akiwa na miaka 24 tu
Hivi sasa ukiiwaza EPL unawaza Man City, na ukiiwaza Man City unamuona Pep Guardiola licha ya kwamba amepata mafanikio pia akiwa Barca na Bayern..
Baadhi ya makocha ni ngumu mno kuwasahau & kufata nyayo zao na Pep ni mmoja wa hao...
Style yake, uwezo wake & akili zake kwny mchezo zimekuwa za level ya juu kabsa na ni ngumu kutarajia mafanikio km haya kwa makocha wengine wataofata huko mbele, either kwa Man City au team yyte ya EPL...
Pia, kuitwa game za UEFA kunachangia sana kwny mshahara wa jumla so marefa wenye majina makubwa km kina Michael Oliver au km Clement Turpin wanapata hela zaidi kwa sababu ya kuchezesha game nyngi kubwa za UEFA...
Ila kwa kawaida, marefa wa EPL hupata hela nyingi sana (2nd to LaLiga) kutokana na nyongeza zingne ambazo hapo sijazitaja...
(Hapo nimetaja mishahara ambayo ni fixed)
Na hio ni kutokana na ukubwa wa ligi so kuna mambo km bonuses za kit sponsors, na vitu km hivyo...