Mmiliki wa klabu ya Azam @Yusufbakhresa ameamua kuingia nginja nginja msimu huu kuhakikisha Azam inatwaa ndoo ya Ligi kuu na kutinga katika MAKUNDI Caf champion League,,,,,wait and see
Ni kweli @Yanga1935 ilipokuwa nchini Ghana kucheza na Mediama Rais wa Yanga Eng Hersi Said alikutana na kiungo Augustine Okrah na kupiga stori mbili tatu hasa kutaka kufahamu kwa undani sababu ya msingi iliyomfanya kuondolewa ndani ya Simba,baada ya mazungumzo hayo viongozi waligundua Okrah aliondoshwa kwa mizengwe tu.
HiliGame | - @mastertindwa
“Jana Wydad wamecheza mechi yao ya Ligi, na ikumbukwe mechi zao tano (5) za mwisho zote wamepoteza tatu ni za ligi (3) na mbili (2) za CAFCL. Lakini jana wameshinda 3-1 kwa mara ya kwanza “
“Wydad wamecheza jana na wanacheza tena Jumamosi dhidi ya Simba CAFCL , Mamelodi pia wamecheza jana lakini sisi huku timu zinaomba zisogezewe mbele mechi zao.”
Master Tindwa kwenye HiliGame leo asubuhi
Simba na Yanga bado wananafasi ya robo fainali ya CAF Champion League Yanga kama watapata alama 3 kule Ghana na alama 3 hapa Dar es salaam na si vinginevyo,Simba kama atapata alama tatu au zaidi katika Mchezo dhidi ya wydad nafasi itakua wazi kwake.