@NiambieTZ Wa nzega Mimi natumia mkwanja wangu kwa maendeleo binafsi na siachi kuwasaidia wanao faa kusaidiwa pamoja na kutunza akiba kwajili ya kesho yangu
@ITVTANZANIA Wa nzega sisi kama wananchi hatujafahamu wala kutaarifiwa kama kamati za afya katika shule zinamaandalizi katika tahadhari ya corona tunachojua tarehe 29 shule zitafunguliwa
@ITVTANZANIA Mkazi wa nzega kiufamu, kimuunndo, na uwakilishi sisi kama wananchi tunashukuru bunge la 11 Limewajibika sana ipasavyo mapungufu nimichache nadhani sasa niwakati wa kuyalekebisha kwa kura zetu.
@ITVTANZANIA Wa nzega ingetosha kama serikali ingeweka watalamu wa idala hiyo wengi ili wanapo fanya hakiki zao kwa mwaka huku mitaani ijirudie mara kwa mara hata mara 20 au 30
@ITVTANZANIA Mkazi wa nzega hapana wachezaji wa ndani ambao niwazawa sijawahi kufikilia na sifikilii kama wanaweza kua na utofauti wa viwango maana hawana uzalendo na hawajua kuishi ndani ya vipaji vyao