@godbless_lema nachukiza na kupandisha hasira. Wananchi kipato cha chini wanakandamizwa na kuumizwa kwa utitiri wa kodi alafu kuna njemba zinaiba na kuhondomola.AWASTAHILI KUENDELEA KUWA URAIAN. ADHABU NI KUNYONGWA HAZALANI +KUFILISIWA MALI ZOTE
@ReganTesla_ Lakini pia kuna ujinga mwingi wa wanawake especially jama watoto bado wadogo. Wao uwaza tu tukifa itakuaje? Wao uwaza malu tu baada ww ukifa.
@masoudkipanya Kazi ya hiyo ngazi ni kuwavusha walioko juu tu (WANASIASA, WALE WANAJIITA MH, KWENYE TABAKA LAO LA JUU KABISA)na sio kuwasaidia walioko chini( RAIA,WANANCHI)
@Mwabuk2Boniface Walikataa maridhiano wakaachangua kuteka,wamepoteza watu,wamejeruhi wameua hawataki kukiri makosa yao kwani wanatuona sote kama mbuzi wao wa kafara
@IAMartin_ Nakumbuka tema kuna wengne walisem ni kufungiwa ndan,internet, usafiri na blablaaaa kibao. Najiuliza vipi uko Venezuela wamefikaje? Na kilakitu wamekireport? Kama mi kucopy taarifa mbona hapa tz za @cnni@bbcswahili@AlJazeera hawafufanya na hawaja fanya