Je! Si mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike; kwa kuwa Bwana, Mungu wako, yu pamoja nawe kila uendako
Yoshua 1:9 ๐
Mama asemewe Leo Tarehe 03.03.2026 tumepata heshima kubwa kushiriki uzinduzi wa ujenzi wa matanki ya kupokea mafuta kutoka Bandari ya Dar es Salaam. katika Wilaya ya Kigamboni na uliongozwa na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kipenzi cha watanzania Dkt Samia Suluhu Hassan mgombea wa nafasi ya Urais kupitia CCM amewasili eneo la Ikwiriri jimbo la Rufiji mkoani Pwani kwaajili ya kuendeleza kampeni na kunadi sera zake za ilani ya CCM ya uchaguzi 2025-2030.
#kurayakwanzakwasamia
Nikusihi mtanzania mwenzangu 29 Oktoba tukatimize haki yetu ya kikatiba Kuchagua kiongozi kwa maslahi mapana ya Taifa hili maendeleo ni sisi wenyewe
#kurayakwanzakwasamia#haijapatakutokea
Huu ndio utu
Kumekuwa na tetesi watu wa mtandaoni ambayo ni wanaharakati na wanachadema kuhamasisha mandamano kwa kuchanganya dini na siasa kwa kutaka kupata sapoti kutoka kwa wakatoliti sasa siri imefichupa wakatoliti kupitia viongozi wao wamekili oktoba wanatiki