Mnaosema Mapenzi yanauma hivi mnayajua #Maumivu ya #KuCashOut Mkeka afu mkeka uje upeleke.๐๐
Mf; ulipaswa kula 500k, hadi dk ya 80 unaona match haieleweki ukaona Kanji usnitanie unachukua 200k. Baada ya dk kama 10 hivi ile option inapeleka. Imagine unakosa 300k within 10 mins
@NAHIRNAHID@IAMartin_ Ukitumia #Zanzibar basi ni vyema ukatumia #Tanganyika badala ya Tanzania Bara
Ukitumia Tanzania Bara basi tumia pia Tanzania Visiwani.
Usishiriki kuiangamiza identity ya #Tanganyika. Ahsante
Mnamlaumu Refa kwa lipi? Kisa kawanyima Penalty ambayo ilikua ni #HAKI yenu? Nyie si ni Waumini wa #Amani over #Haki. Refa kaamua kumaliza mpira kwa #Amani bila #Haki.
Mmeona jinsi kunyimwa #Haki inavyouma eehh, haya rudini tuungane kudai #Haki kwenye nchi yetu ya ๐ฒ๐ผ.