@chiefodemba Sabaya amekunyima udiwani?@Mbowejames sasa hivi kila mtu anatafuta uhalali kwanini aliangukia pua,Nadhani huyo sabaya mnamuogopa sana hata https://t.co/enlqL8pcMA kweli sio mtu wa kumchezea kama aliangusha ngome yote.Sasa hivi hayupo hai,kashinde basi.
@godbless_lema Kwani nyinyi chadema lini mmeanza kuwa na uchungu wa kauli unasema zinamharibia Mama.!??.
Kama wanamharibia si ndio advantage kwenu au nyie hamtaki?.
Umeanza kulalamika mapema sana sisi watu wa Arusha tunakujua uhuni wako.
Tutaenda na nyie hivi hivi.
@fatma_karume Ole sabaya Jnr ni mtu snaa!laiti mngeweza kuona uwezo na nguvu zake kupitia kazi na heshima. Mnamchukia na kumsogeza mbali kwa sababu ya misimamo na mnajua atamsaidia Rais bila usaliti.