‼️JK HALI YAKE VIPI? ‼️
Jamani huyu source wangu hajawahi kunilisha tango pori ila hii taarifa ya JK kuugua akitokea msibani nakamilisha confirmation ya nwisho maana pale Mzena Makumbusho kuna movement zisizo za kawaida 🧐 madaktari kibao ghafla!
Haya bana nitawarudia - na msishangae wakija kukana maana wanaogopa hasira za wananchi!
#TutaelewanaTu
Wauwaji wa October 29 Watawajibishwa, kuanzia waliotoa order za mauwaji, mpaka waliotekeleza order hizo na mpaka yule killer in chief aliesimama hadharani baada ya mauaji na kusema proudly kuwa nguvu sahihi ilitumika…….
Na CCM itatoka madarakani na Watanzania wataweza kuchagua chama wanachokitaka, Rais wanaemtaka na wabunge wanaowataka……
Cha msingi, HOLD THE LINE!!!!!!!!!!!!!
Mi tangu nifanye mfungo wa siku saba bila kula nikaishia siku ya 3 ndo nikagundua:
Funga ya kutokula kabisa ni sahihi zaidi kusema umefunga mana ukitafakari kuwa kuna watu wanakula saa 9 usiku na bado watakula saa 12 jioni na saa 3 watakula nikaona ni kipengele sana.
Watanzania, tupo pazuri na tunaelekea pazuri. Najaribu sana kutokuongea too much mambo ya background ila soon mtaona matokeo, cha msingi ni kwamba wooote nchi nzima tuwe focused, hakuna kurelax.
Kwa wale mnaonilaumu why sifungui account ingine instagram, ni hivi siruhusiwi kuwa kwenye platform yoyote ya meta kwa sasa. Hata nikifungua account ingine itafungwa hapo hapo. Yani ni lazma wanirudishe wenyewe.
Trust me, it breaks my heart kuona kazi niliyoifanya, day & night for 5 months, kumobilize Watanzania inaanza kurudi nyuma taratibu.
Ningekuwa mtu wa kawaida ningeweza kufungua account ingine ila issue yangu ni nzito so lazma nimalizane nao, @Meta
Na msione kimya, napambana na watu wananipambania account zirudi. Yani ni hivi kuna watu wanahaingaika day and night account zirudi.
Tuvute subra. TUTASHINDA.
‼️AIBU KWA SAMIA NA GENGE LAKE LA WAHUNI WA HIFADHI NGORONGORO‼️
Askari wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro wanafukuzwa na kulaaniwa na kinama jana baada ya kuvunja nyumba katika eneo la Endulen Ngorongoro. Nyumba waliibomoa na magari yao na iliangukia kina Mama na wengine ndani ya nyumba! Washenzi sana hawa 🚮
Laana mbaya zaidi katika mila ya Kimaasai ni ya kinamama hasa wakitumia mavazi yao ni mikanda. Hii haina toba na haisemeheki. Laana ya kinamama wa Kimaasai inakufanya kufa au kuwa tahira.
#SamiaMustGo #D25 #J1 #StopMaasaiEviction
iPhone users, if you want your pictures to come out like this.
1 : Open your camera
2 : Go to portrait
3: Swipe it to studio light
4 : Click the option bar and click on aperture
5 : Change the aperture to 2.8
6 : long press your screen till you see AE/EF lock
That’s all 👍🏼