This time around wamemaliza lami, 2030 itakua na mapicha picha sana. Possibilities ni kung'ang'ania kiti, Upinzani kushika dola. Yoote hayo ni kwa sababu yoyote atakae ingia lazima atafilisi watu na kunyonga watu. H. Polepole the prophet
Katiba yetu kila siku inatu expose how weak our Institutions are.
Kura tuombe wote,tuchaguliwe wote, tutofautiane mitazamo baadhi ya mambo mnitoe haha.
Ruto alimaliza kipindi chake haelewani na Uhuru and Kenyans made a choice.
Hii katiba bado inamtreat VP kama secretary wa Rais
Yaani unaaenda zako kumtumia samaki mteja stendi, unaambiwa utoe ushuru wa mzigo.
Samaki unaponunua unalipa ushuru, sokoni unalipa ushuru, mabus unayosafirishia yanalipa ushuru, na wewe unayeleta mzigo unaambiwa uulipie ushuru.
Hii nchi kupambana na umaskini ni kifo na kupona.
Uzuri wa Nchi, alikuja JK, akaja na Umeme wa Gesi, akaja Magufuli akaachana na Gesi akaenda kwenye Hdro tena.
Wacha tuone heka heka za 2030 +
Wazee a legacy isiyo na muendelezo.
Kinachosababisha mara nyingi kwenye miradi yetu mikubwa, Makisio lazima yawe madogo kuliko gharama halisi ni nini?
Hatujui kufanya Tathmini? Tunakiuka misingi ya miradi, au
Tunakua hatufanyi hatua za awali vizuri au "business as usual"
"Hebu angalieni mnatesa abiria. Kama mimi mwenye basi nimeamua kumchukua huyu abiria kumpeleka mpaka anakotaka wewe kinakuuma nini wewe ambaye huna hata basi, nini kinakuuma?" - Ahmed Shabiby
Maisha ya bongo ni kama unaanza game ya 4-0.
Unaanza na kuzaliwa kwenye umaskini, unapata elimu ya mchongo, afya na Lishe na Mchongo, halafu bado kuna Serikali inayotakiwa kukusaidia, ndio inakupiga msumari wa mwisho.
@mlimaSayuni@YerickoNyerereT We jamaa πππ, nimeomba huo utafiti ( hio research paper) ambayo waliipuuza sio maoni yako. Lakini pia mtu anaeishi mbagala na safari yake ni kwenda mtwara huyo atasubiri bus mbagala hapo hapo hana haja ya kuja mbezi. Tujitahidi kuelewa