Wizara inaendelea kupokea maoni kwa ajili ya mapitio ya Sheria ya Elimu Sura 353. Karibu tutashukuru kupokea maoni yako. Kwa rejea unaweza kuisoma Sheria kupitia Tovuti ya Wizara https://t.co/qMH9v4ZmWn na kutuma maoni kupitia tovuti au barua pepe [email protected]