#FreeMnyawami
Watu waliojitambulisha kama Jeshi la Polisi wamekamata na kutokomea na Kamanda Jacson Mnyawami ambae ni Katibu wa Chadema Kanda ya Serengeti.
There are times when we are told that justice must be set aside in the interests of peace. It is true that justice can only be dispensed when the peaceful order of society is secure. But we have come to understand that the reverse is also true: without justice, there can be no lasting peace.
KISWAHILI:
Kuna nyakati tunaambiwa kwamba haki inapaswa kuwekwa kando kwa ajili ya amani. Ni kweli kwamba haki inaweza kutolewa tu pale ambapo utulivu wa jamii umehakikishwa. Lakini pia tumekuja kuelewa kuwa kinyume chake ni kweli: bila haki, hakuwezi kuwa na amani ya kudumu.
Kofi Annan, Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa, Machi 2003.
Baada ya kurejea CHADEMA na kushuhudia mapokezi makubwa kutoka kwa wananchi, nimepata amani ya nafsi na moyo. Upendo, imani na matumaini mliyonionesha ni uthibitisho kwamba siasa ni kuhusu watu na mahusiano ya kweli kati ya viongozi na wananchi. Nawashukuru sana wana Iringa na Watanzania wote kwa mapokezi haya ya kihistoria. Nitabaki kuwa mtumishi wa watu, nikisimama upande wa haki, maendeleo na ustawi wa wananchi.
Rev Peter Simon Msigwa
Maridhiano yafanyike sasa, kabla ya uchaguzi.
Msikubali Mardhiano Baada ya uchaguzi.
Baada ya uchaguzi itakuwa ni wakati wa kuwajibishana tu.
Hatutakusahau Balozi.
Ulituamusha sana.✌️
🚨Carlo Ancelotti response when asked if Brazil are facing “Morocco” the champions of Africa
🗣️No, Morocco are not the champions of Africa, we all know senegal are the real champions of Africa not Morocco, Senegal won the AFCON on the pitch and somehow after 90 days I heard that Morocco will be given the trophy of which is very wrong”.
“The whole football world know that Senegal are the champions of the work, we are just facing an African team not the champions”.
Wewe Sio mtanzania bara . Wewe ni mtanganyika. Elewa wewe ni mtanganyika . Narudia wewe ni mtanganyika . Nchi yetu ni Tanganyika ,
Nchi yetu Haina Raisi
Nchi yetu Haina Bunge
Nchi yetu Haina katiba.
Hakika watanganyika tumekuwa yatima kwenye nchi yetu 😔
Mungu aliyekuokoa na risasi 32 za mfulilizo ndiye huyo anaendelea kukulinda kwenye kuta cha Magereza . Stay strong 💪 umeonyesha maana harisi ya "UPINZANI"
Really politician #FreeTunduLissu#KatibaMpya
Wakina MAFWELE wanawaamini hawa kuliko kitu chochote.
Hawa wakiongea hata kama ni UPUPU wakina MAFWELE wanalibeba na kuwa AJENDA KUU.
Ona huyu PIMBI anahangaishwa na maandamano ya 7/7 anaishia KUROPOKA TUU.
Hapa wakina MAFWELE watateka watu wa chadema na kuwapoteza kwasababu huyu PIMBI kaongea hivi.
Wewe mtanzia uliepo MKOANI kushiriki mikutano ya CHADEMA ni ibada.
Hiki chama kinawasemea NDUGU ZETU waliouliwa kikatili OKTOBA 29–hakuna CHAMA kinapigania haki za ndugu zetu zaidi ya CHADEMA.
Ukiona mtu anaumia na hizi NYOMI za CHADEMA jua kabisa huyo ni mshiriki wa MAUAJI YA MO29.
Tuendelee kukiunga mkono hiki chama kinaenda kututoa MATEKANI.
REPOST 200
Sasa ni saa tano na nusu Usiku, Makam Mwenyekiti Mhe. @HecheJohn anaendelea na Kikao na Viongozi na Wanachama Mkoa wa Iringa.
Hakuna kulala mpaka kieleweke.💪