Uongo dhambi chama letu leo linajikanyaga vibaya mno.
Dakika 73'
๐ ๐ง๐ซ Burkina Faso 1 - 1 Tanzania
Sio mbaya kutunza tulicho nacho na kushukuru kwa yote.
Ila huyu Judicael Ouba leo ametukamia kweli.
Dakika 90'
๐ ๐ฟ๐ฆ Afrika Kusini 1 - 2 Tanzania ๐น๐ฟ
Mbane โฝ๏ธ Diana Msewa โฝ๏ธ
Hasnath Ubamba โฝ๏ธ
Refa tunakaa mbali dakika 5 zote hizo za nini bwana.
Half time ;
๐ ๐ฟ๐ฆ Afrika Kusini 1 - 1 Tanzania ๐น๐ฟ
Mbane โฝ๏ธ Diana Msewa โฝ๏ธ
Huyu refa kwanini wanapenda kutupangia huwa hatupendi kabisa ๐ข
Mchezo mzuri kwa pande zote mbili
Diana & Opah & Katunzi good game ๐๐พ
Dakika 38'
๐ ๐ฟ๐ฆ Afrika Kusini 0 - 1 Tanzania ๐น๐ฟ
Diana Msewa โฝ๏ธ
Faida Tanzania wameshtukia mashimo nyuma ya kiungo mkabaji wa South na mabeki wao wa pembeni kupo wazi sana
Tanzania kuna nidhamu nzuri sana ukabaji na kujituma katika matukio.
We should never lose concentration
Dakika 50'
๐ ๐ฒ๐ฆ Morocco 4 - 0 Kenya ๐ฐ๐ช
Sakina โฝ๏ธ
Maryam โฝ๏ธ
Ibtsam โฝ๏ธโฝ๏ธ
Hawa ndugu zetu kocha wao mweupeeee sana yaani kwa ufupi hawana kocha bhana nini hiki sasa?๐ค
Huoni mistari ya timu ikizuia,hawapo compact kabisa,mashimo kila eneo?
Dakika 31'
๐ ๐ฒ๐ฆ Morocco 3 - 0 Kenya ๐ฐ๐ช
Sakina โฝ๏ธ
Maryam โฝ๏ธ
Ibtsam Jraid โฝ๏ธ
Kenya unafungukaje mbele ya Morocco tena wakiwa katika ardhi yao ya nyumbani tena mchezo wa ufunguzi?๐ค
Rudi nyuma cheza mid block au low block ๐ซ kujiondoa na aibu ndogondogo hizi.
Dakika 31'
๐ ๐ฒ๐ฆ Morocco 2 - 0 Kenya ๐ฐ๐ช
Sakina โฝ๏ธ
Maryam โฝ๏ธ
Ibtsam Jraid โฝ๏ธ
Kenya unafungukaje mbele ya Morocco tena wakiwa katika ardhi yao ya nyumbani tena mchezo wa ufunguzi?๐ค
Rudi nyuma cheza mid block au low block ๐ซ kujiondoa na aibu ndogondogo hizi.
Mbona huyu kocha mkuu wa Kenya ๐ฐ๐ช Bi. Beldine Odemba anahofu sana ๐ค...
Lack of experience au?
Dakika 20'
๐ ๐ฒ๐ฆ Morocco 1 - 0 Kenya ๐ฐ๐ช
Sakina โฝ๏ธ
Majirani zetu wanapelekewa sana moto kwa kweli.
NUSRA ABEL RUHKSA KUITUMIKIA FOUNTAIN.
Baada ya mgogoro wa muda mrefu kati ya Alliance Girls na Fountain Gate Princess juu ya golikipa Nusra Abel hatimaye umemalizika shwari kwa mchezaji huyo kujiunga na klabu ya Fountain akitokea Alliance.
Nusra ataitumikia FGP michezo ijayo.
Hii hapa orodha ya vinara wa magoli ligi kuu wanawake hadi wakati huu.
8๏ธโฃ Jeannine Mukandayisenga
7๏ธโฃ Winfrida Gerald
5๏ธโฃ Jentrix Shikangwa
Aregash Kalsa
4๏ธโฃ Aisha Mnunka
Hellena Hamis
Winfrida Charles
๐ Vita bado mbichi hii ...
Katika mchezo wa leo kati ya Zambia Dhidi ya Malawi kuna uwezekano mkubwa aliyekuwa golikipa namba moja wa Zambia, Hazel Nali kurejea langoni baada ya miaka miwili kupita.
Hazel alikuwa nje kwa miaka miwili akiuguza majeraha yake.
Welcome back Hazel ๐๐พ๐๐พ
Tafadhalini sana Makolo na Utopolo kama kuna Mahali popote nilisema mshike peni na karatasi mjifunze samahani sana nililewa sio akili yangu.
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐พ
FOUNTAIN GATE PRINCESS KUTOMLIPA NYANYAMA KWA MIEZI NANE.
klabu ya Fountain Gate Princess inadaiwa kutolipa mchezaji Nyanyama kwa miezi minane ya mishahara pamoja na sehemu ya ada ya usajili (โsigning feeโ), jambo ambalo mchezaji amelitaja kama ukiukwaji wa mkataba.
EXCLUSIVE ...
Ligi kuu ya wanawake Tanzania bara inatarajia kuanza rasmi tarehe 14 Novemba kwa michezo 4 kufanyika.
Mwezi huu wa 11 kutakuwa na michezo hiyo tu ambapo timu 4 hazitokuwa na mchezo mwezi huu hadi mwezi 12 ambazo ni JKT Queens,Bunda Queens,Tausi FC na Mashujaa Queens
Ligi kuu ya wanawake Tanzania bara imesogezwa mbele baada ya kutakiwa kuanza tarehe 06 mwezi huu.
Ratiba kamili na tarehe mpya ya kuanza ligi hiyo itatolewa rasmi hivi karibuni.
CONFIRMED LIGI HAITAANZA TAREHE 06/11.
Rasmi kocha mkuu wa Simba Queens, Elieneza Nicholaus ameachana na klabu hiyo baada ya kupata majukumu mengine
Taarifa zingine zisizo rasmi zinadai talaka hiyo ni kutokana na kutofurahishwa na kuingiliwa majukumu
Sasa Elieneza yupo mkoan Tanga akiendelea na majumu ya timu za taifa
BEKI KISIKI MATOBA CISSE YUPO NCHINI.
Nyota wa timu ya taifa ya Ivory Coast na zamani klabu ya Athletico D'Abidjan FC, Matoba Cisse yupo nchini Tanzania akiendelea kujifua na klabu yake mpya ya Tausi FC kuelekea ligi kuu Tanzania.
Tausi FC wanashusha kimya kimya.
BAAAASI ...
HII HAPA RATIBA YA MICHEZO YA UFUNGUZI WA LIGI KUU WANAWAKE.
Tar 06,
Jkt Queens Vs Bunda Queens
Geita Queens Vs Ceasiaa Queens
Simba Queens Vs Bilo Queens
Alliance Girls Vs Fountain Gate Princess
Ruangwa Queens Vs Yanga Princess
Tar 07,
Tausi FC Vs Mashujaa Queens
EXCLUSIVE ...
Nyota wa Ethiopia ,Senaf Wakuma ni kweli amesaini mkataba wa miaka 2 na klabu ya Simba Queens lakini hatokuwa sehemu ya wachezaji watakao tumika katika michezo ya ligi baada ya ITC yake kuchelewa hivyo atatumika baada ya dirisha dogo atakapoingizwa katika system.