Meanwhile wewe uko hapo Juja, ama archives ukiuza mayai, mwingine ako kwa mamake. Uko busy sana ukiingililia Kairo na dem yake. Badala ushughulike na venye utajitoa kwa umaskini. Unasahau Kairo ako na showroom tatu zinamuingizianga pesa akiwa na dem yake sherehe India.
@cwaudiaz@GathogoBMwangi@fbiego_ Sometimes watu mnajifanyanga CIA huku, so what will you do with the image of a car that a million other people have seen on the road