Niliskia Gachagua akisema state house kuna container imejaa dollars
Tukifika hizo area 25th June staki mazoeano kwa mlango ya container, hakuna haja ya stampede
#RutoMustGo ��🏽
Pale Citizen TV nimeona goons wamesema bado bawajawekewa 2,000/- na City Hall
Kuna wengine walipewa 50/- ya fare na bado Sakaja hajaweka mshahara 😂
Wacha tupatane 25th