Another fine morning to remind you nilisomea Nyakimicha Primary na nikawa namba last mara kadhaa.
😎Najua mnaskia vibaya lakini I can't help it but remind you poverty si kitu poa.
I love everyone & anyone doing the things they love & not letting fear control them it’s so amazing to see someone’s mind & passion come to life & allowing the world to see who they are & what they feel through it.
Siamini nlikua na amka 5 asubuhi kama watu hawaja amka, naenda jikoni, natoa hiyo seal tape ya mkate vizuri, nafungua naiba mkate za katikati, narudisha vizuri, naifunga vizuri hadi seal tape, nakula, narudi kulala, alafu naacha mathe akisema mkate za siku hizi wanatuibia 😏
Hawa pastor huubiri kwa soko hutoa wapi nguvu? Imagine mtu ako na stress hajauza kitu tangu asubuhi na wewe unamuambia vile Yesu alichapa wafanyi biashara kwa kanisa... Sadaka itatoka wapi? 😏