Dayalisisi (Figo)
Chemo & Mionzi (Kansa)
Gharama kubwa za haya matibabu, imesababisha kuchukua uhai wa ndugu zetu wengi mno!!
Bado wapo wengine wengi wapo vitandani sasa wanaugulia.
Bado wapo wengine wanatembea wakiamini ni wazima, lakini bila kujua tayari wanayo haya maradhi.
Siku zinavyozidi kwenda, ongezeko la waathirika wa maradhi haya linakuwa kwa kasi kubwa mno!!
Huku vifo vingi vikitokea kwa sababu ya kushindwa kumudu gharama, na kutofika vituo vya afya mapema na kwa wakati sahihi!!
Tutaendelea kupoteza kundi kubwa sana la wapendwa wetu๐
kama hazitafanyika jitihada kubwa kupunguza gharama za matibabu na kuongeza elimu (Awareness) kuhusu afya zetu (Lifestyle), Checkup mara kwa mara!!
@StoneSaphia Mabinti wengi wanapenda kukazwa na Askari, Askari baada ya kupata hiyo code basi ndio ukawa mwisho wao wa kuonga.
Nenda Tabora ujionee. BIG UP WAPIGANAJI.
๐๐๐๐๐๐๐๐: Tajiri wa mwisho wa Kikristo aliyepambana na Manji, Rostam, Subhash Patel ni Dr. Reginald Mengi, alimuinua Godfrey Simbeye wa TPSF amsaidie ikakataa
Kwenye kitabu cha I CAN, I MUST, I WILL Mengi anasema muda mrefu wa darasani hukwamisha wakristo kuwa matajiri
Kuhudumia wateja wa makamo ni rahisi na interactive kuliko kuhudumia kizazi hiki. Mgojwa wa makamo unaongea naye anakusikiliza vizuri, anauliza maswali na inawezekana hata ana mahali pa kuandika. Kizazi cha mijusi unaongea yeye anataptap na kuchekea screen, mwisho anakodoa tuu.