📍 Arusha
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Thomas Ole Sabaya akimvalisha Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, vazi la utamaduni wa kimasai ikiwa ni ishara ya kumvika hadhi ya Laigwanan ambaye ni kiongozi wa kimila wa jamii ya kimaasai tarehe 22 Februari, 2026 wakati akikaribishwa kwa ziara zake za kikazi zilizoanza rasmi jana lmkoani humo.
Ikiwa ni mara ya pili mfululizo mwanariadha wa Tanzania, Gabriel Gerard Geay, ameibuka mshindi wa kwanza katika mbio za kilomita 42 za Daegu Marathon zilizofanyika nchini South Korea, akiendelea kuipeperusha vyema bendera ya taifa katika mashindano ya kimataifa.
Geay alimaliza mbio hizo kwa muda wa 2:08:08 uliomuwezesha kuongoza washindani kutoka mataifa mbalimbali, na kuthibitisha ubora wake katika riadha ya masafa marefu.
Katika mashindano hayo pia, Mtanzania mwenzake Emmanuel Dinday alifanya vizuri kwa kushika nafasi ya tatu, mafanikio yaliyoongeza fahari kwa Tanzania na kuonesha nguvu ya wanariadha wake katika jukwaa la dunia.
Ushindi huo unaendelea kuifanya Tanzania kutambulika kimataifa kupitia michezo, huku ukiwahamasisha vijana wengi kuendeleza vipaji vyao vya riadha.
Ninawatakia kheri ya Sikukuu ya Krismasi Wakristo na Watanzania wote. Mnaposafiri na kujumuika na ndugu, jamaa na marafiki katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu, tusherehekee kwa furaha na upendo.
Kuzaliwa kwa Yesu Kristo kutukumbushe upendo kwa Mwenyezi Mungu, upendo kwa kila mmoja wetu, wajibu wa kujitoa kuwasaidia wenye uhitaji, uvumilivu na unyenyekevu. Tuendelee kukumbuka wajibu wetu wa kutunza Taifa letu ili lidumu katika amani, utulivu, haki, ukweli na ustawi wa kila mmoja wetu sasa na vizazi vijavyo.
Mwenyezi Mungu awabariki nyote.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imeahirisha kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mange Kimambi hadi Januri 28, 2026.
Wakili wa Jamhuri, Clemence Kato ameieleza mahakama kuwa upelelezi wa shauri hilo haujakamilika.
Tundu Lissu’s Role: Tundu Lissu is portrayed not as a victim of political persecution but as the mastermind behind post-election violence and efforts to disrupt the country’s reconciliation process.
#KataaMabeberuEU
PAID ACTIVIST WAMEHAMAKI 😁😁
Tulisema haya mambo hayatokei yenyewe! Ndani ya Tanzania kumekuwa na kampeni ya intoxication inafanywa na paid activists asubuhi mchana jioni.
Wanatapakaza propaganda kila kukicha mara katiba,mara tume ya uchaguzi ,mara uzanzibari na ubara.
Tuliwaambia ukweli wa nani anafanya haya mambo na kwa nini na nani anafadhili mambo haya!
Tulianza kusema haya mwanzoni kabisa hamkusikia!.
Sasa mmeanza kusikia sauti ya ukweli na uwazi nani analipa watu hawa kuchochea vurugu wanazoita harakati!.
Nina furahi sana kuona sasa wanatoka ma kusema wanalipwa na nani kuchochea vurugu na mauaji ya watu wanaowachochea kufanya fujo! Watanzania wajue kuwa watu wanalipwa kuchochea vurugu zinazouwa watoto wao!
Kama watu wanakaa nje ya Tanzania wanapokea 5bn TZS na kuzitumia kuchochea watu kuchoma nchi kwa kigezo cha maandamano basi tuko na shida ya MUNGU na MAPENZI na nchi hii!..
#KigogoMediaUpdates
The resilience of the Tanzanian spirit is stronger than any biased resolution passed in a foreign land. We will remain peaceful, united, and sovereign. #KataaMabeberuEU@Europarl_EN
The resilience of the Tanzanian spirit is stronger than any biased resolution passed in a foreign land. We will remain peaceful, united, and sovereign. #KataaMabeberuEU@Europarl_EN
The European Parliament has become a megaphone for opposition propaganda, amplifying unverified claims and outright falsehoods to undermine a legitimate government.
#KataaMabeberuEU@Europarl_EN
Where is the European Parliament's resolution on the economic damage caused by the violent protests? Innocent shop owners and traders are the real victims of this so-called "peaceful"
movement. #KataaMabeberuEU@Europarl_EN
Keyboard warriors on a payroll. They incite violence online, collect their cheques, and never face the consequences. Their weapon is a tweet; their ammunition is the lives of others. #ExposeThePerpetrators
Mdogo angu @rollymsouth hichi ndio kiasi wenzio wanaingiza. Sasa utaelewa kwanini @TitoMagoti alikutukana sana maana meza uliotingisha ina "vinywaji" vya mabilioni.
Ndio maana wenzio wanaweza ku-afford kukimbia nchi wakati wewe unabaki kupanga chumba na sebule Makongo.