Najua uko smart,
Najua una akili sana,
Najua unasali sana,
Najua una marafiki,
Lakini leo ukisali muombe Mungu akukutanishe na mtu mmoja sahihi wa kuendana na mawazo na ndoto ulizonazo.
Iโm happy to share that the Central Bank of Tanzania (BOT) @BankOfTanzania has granted @SwahiliesPay our own Payment Service Provider (PSP) License.
Over the past few years, we have worked with more than 15,000 SMEs through bookkeeping and embedded finance solutions. This license now allows us to build and launch our own financial products directly with licensed partners, while also serving businesses with higher transaction volumes.
We are getting back to work, focused on building bigger things for businesses across Tanzania and Africa!
Kumekua na wimbi kubwa la vijana kati ya miaka 21 - 32 kuacha kazi siku za hivi karibuni, ni ujira kiduchu au kuna mengine mengi yanayotusibu kama vijana?
Usiogope kujitafuta upya, hata kama italazimu ku-relocate.
Maisha ni marathon,Usingโangโanie vitu, mazingira, au watu ambao hawakufanyi kukua, bali wanakuua taratibu ndani yako.
Wakati mwingine hatua ya kuondoka ndiyo mwanzo wa kuishi kweli.