Ni siku nyingine tena mmepewa kila sababu ya kuwadharau, kuwapa maneno makali, kuwaambia ni wezi huduma ni bure, kuwapiga ngumi wakati mwingine wafanyakazi wa afya🤝
Wagonjwa ni muda wenu huu mtu asijaribu kutuma hata picha ya XRAY, Tamisemi kazi mnayo😂
-HAMPENDI UKWELI NYIE
Ukiwa kwenye hospitali yenye madaktari wengi hapo ethically unashauriwa kumpeleka mgonjwa huyo akahudumiwe na daktari mwingine kuepusha “unintended consequencies”
Umenifokea, umenituhumu, umenidogosha then a minute later you expect ntakua poa tu nakupatia matibabu?
We are humans ndugu wananchi - we have feelings as you do - “you better watch your mouth”