Leo natafuta za stake ju ya kesho nataka like 3 odds pekeee.From today hyo ujinga ya kubet games mingi No.serious and smart gambling naona legal money siezi toboa ,its about smartnes naona year before ends nitakuwa na Cx5 inshallah let me challenge myself coz najua my capability.
As i promised and vowed to myslef ππ₯π₯4 odds sure zenye nimeaminia πππfor tommorow weekend π. I want first win of the weekendπ₯π
Maverick Apoko, maybe John Mbadi alishindwa kwenda roundi mbwekse, lakini allow me to school you again sababu you brain is at stationary.
Numero uno, naona kabisa umesema ile kitu sisi tunasema. Hiyo meza ya ugavana Babu lazima akuwepo na aspirant wa LMM lazima akue hiyo meza kwa sababu usawa ni sawa akiz.
Numero mbwekse, naona clearly unasema kila mtu ako na chama yake lakini kila siku nyinyi ndio mnataka kutuambia welfares za LMM, anga vile mko na shares huko, anga vile mko betrayed, sasa si mtumie hizo chances kuomba kura hapo the mbuta party, sio kututafuta maneno huku kwetu. In short nasema, kila mtu achezee kwao.
Numero utat, jina yetu ni SODF, na hapa ndio kuna ile kikosi ya GSU. Si ni wewe juzi ulidhani vile tumeruhusu you commercialize umalaya yako unadhani you can bully every woman into those bs ukaanza kutusi our first lady. Sasa huku kwetu we retaliate 2x the way you attacked na sijui unalia nini na game hata hatujaleta koroboshta zote.
Numero cuatro, iko campaign inaendelea hii tl to change various departments. Sasa for example wewe si ndio Atwoli of milayas, unafaa kusonga kidogo so that others can collect doggy in the parliament akiz.
Numero cinco, na hapa ndio nataka unishike msuri sababu sitajirudia, HE EDWIN WAKENYA SIXTHFUNA SHALL BE THE 6TH PRESIDENT OF KENYA, whether you ndikni or you kendni.
Geukia Swaleh hapo umwambie WANTAM na jina usiulize ni pesa amefuata kwa Ongili, anajiitanga Sifuna.
@adama_18 Sa suekelee bet yako nilisema sai kila mtu atumie advice yake m napost games u wna use it its okay not telling me what to do with my stake πama aje boiz focus na kupiga leeds kesho game ya Bournemouth wacha