Finally designers now can move to UK with no Visa sponsorship no degree amazing pathway for designers to move to UK for tech opportunities
https://t.co/8RgvH3JgIh
Kijana, don't pretend kwenye uchumba, usiwe na hofu ya kumpoteza binti. Anatakiwa kuona uhalisia wako wa maisha ili ajue what she is about take. Ili msije kusumbuana baadae. Utanishukuru baadae.
@B_Fernandes8@selecaoportugal@FIFAWorldCup Make sure you do everything in your power to see Ronaldo go home without the World Cup trophy because no matter how hard you try his useless fans will say he did it alone and your name will never be mentioned. Use your head
2015 baada ya kupata kazi sikuridhika na mshahara, mshahara wenyewe ulikuwa 400k.
Nikaanza betting.
2017 nikaacha betting na kuanza forex.
Nikaacha fx 2020 na kujaribu kwingine.
Baada ya yote niligundua kuwa uchumi wa kweli unatengenezwa kupitia uzalishaji na si ubabaishaji.
Vitabu 10 vitakavyobadilisha mtazamo na maamuzi ya kifedha maisha yako yote.
1. RichDad Poordad
2. The psychology of money
3. Psychology of selling
4. Atomic habits
5. The way of superior man
6. Richest man in Babylon
7. Think and Grow Rich
8. Millionaire mind
9. The Intelligent Investor
10. Unshakable .
"Kuwa masikini hakuhitaji uwe na mikakati unalala unaamka tayari masikini"
-Emilian Busara
Kama hakuna anayejua unachofanya, hutapata pesa.
Ku-create pekee haitoshi. Lazima ujifunze kuuza pia.
Ongea zaidi kuhusu kazi zako.
Onyesha value.
Toa offer.
Countries where preaching Christianity is ILLEGAL:
1. Saudi Arabia
2. Afghanistan
3. Iran
4. Pakistan
5. Somalia
6. Maldives
7. Yemen
8. Libya
9. Mauritania
10. Qatar
11. Brunei
12. Algeria
What do you notice?
Msije kusema sijawaambia, bila kumkubali Yesu kuwa Bwana na mokozi wako, huingii mbinguni, Usije kujifariji kwa ukubwa wa dini au dhehebu lako, shetani anaweza kuwasomba woote jehanam
Wala Mungu hatawakubali kwasababu ya wingi wenu, kwa Mungu hakuna wengi wape
Kuokoka ni lazima