Kwa wale ambao hawajasaini petition ya #NoReformsNoElection tumeiweka online kila mtu anaweza kusaini.
Tutafanya majumuisho waliosaini manual na online na kutoa matoke na pia kuchukua hatua zaidi.
Watu wanafikiri Kuondoka Kwa Magufuli mambo yamebadilika ila ukweli mambo Bado ni Yale Yale -@rose_mayemba Mayemba mwenyekiti wa @ChademaTz mkoa wa Njombe
Mwaka 2020 CCM ilishinda uchaguzi Kwa mifumo ya kikoloni wabunge waliopo Bungeni hawakutokana na matakwa ya wananchi ndio maana hawawezi kujali Hali ya uchumi ya wananchi -@rose_mayemba Mayemba mwenyekiti wa @ChademaTz mkoa wa Njombe
Wananchi hawako HURU,HAKI yao ya kujitawala imeporwa na watu wachache wenye NJAA na TAMAA ya Madaraka.
Leo tukumbuke,UJASIRI waliokuwa nao wazee wetu ndio uliomwondoa Mkoloni.
Kwa UJASIRI ule ule,tuungane kuupinga Utawala tulionao sasa ulioshindwa kukidhi matakwa ya wananchi
Leo watanganyika tumeungana kusherehekea miaka 61 ya Uhuru baada ya jitihada za Mwl Nyerere na wenzake kumwondoa mkoloni ili tujitawale.
Ni bahati mbaya kwamba watangulizi wetu walifanikiwa kumwondoa Mkoloni(MTU)lakini Ukoloni (MATENDO) ulibaki.
Nawashukuru sana Center for Strategic Litigation (CSL) kwa kunitia moyo kufungua Kesi dhidi ya Rais wa Tanzania na kuhakikisha kuwa mawakili wangu wanasimamia Kesi hii vizuri na kwa ufanisi. Nawapongeza LHRC kwa kusimama upande wa Prof. Assad na kumwakilisha kisheria
Kesi ya Mdee na wenzake dhidi ya CHADEMA iliyopaswa kuendelea kusikilizwa leo katika Mahakama Kuu Kanda Maalum ya Dar es salaam imeahirishwa mpaka tare 6-9 March 2023 kutokana na UDHURU uliotolewa na Mawakili upande wa UTETEZI
#KatibaMpyaNiSasa#KindlyFollowMyTemporaryTweeterAcc
Taifa linapata hasara kwasababu hatuna viongozi wenye maono.
Wengi wanawaza KUIBA na kujilimbikizia Mali,ni wachache wanajali maslahi ya wananchi.
TUCHUKUE HATUA.
#MyTemporaryTweeterAcc
Tangu uanze Mgao wa Umeme, biashara nyingi zinajiendesha kwa hasara.
Ili uuze samaki unatakiwa uwashe Generator, Mafuta Sheli huwezi kuuza bila kuwasha Generator, viwanda vingi vikubwa na vidogo haviwezi kujiendesha kwa faida kama hakuna Umeme.
Kesho 06 Dec 2022 Kesi ya Mdee na wenzake dhidi ya Chadema itaendelea kusikilizwa katika Mahakama Kuu Kanda maalum ya Dar es salaam.
Jesca Kishoa(Mpeleka maombi no 12) ataendelea kufanyiwa Cross Examination na Mawakili upande wa Utetezi.
USIKOSE KUFUATILIA.
#MyTemporaryTweeterAcc