Mbunge wa Kalenga Jackson Kiswaga akabidhi msaada wa Magari mawili ya wagonjwa kituo Cha Afya Nzihi na Kituo Cha Afya Kihwele huku akimshukuru Rais Dkt @SuluhuSamia Suluhu Hassan kupitia Waziri wa Afya @ummymwalimu Kwa kutoa Magari hayo .
Wapo wengi wanataka ubunge Kwa kutumia pesa na wanapesa nyingi kweli wakiwahonga pesa chukueni ndio fursa yenyewe hiyo ila Kwa ubunge nipeni Mimi ambae tayari nimekuwa nawaletea maendeleo Jimbo la Kalenga -Jackson Kiswaga mbunge wa Kalenga
#HaflaYakukabidhigarilawahonjwaNzihi
SOMA HABARI KUBWA KWENYE MAGAZETI YA LEO JUMATATU MEI 6, 2024: @zittokabwe KUJITOSA URAIS 2025,KINANA ALIVYOZIJIBU HOJA 4 ZA CHADEMA, ZITTO KUJITOSA URAIS 2025, SILAHA MPYA YANGA | https://t.co/rkBtDAo8hD
MNEC Salim Abri Asas asema ni wajibu wa Viongozi wa jumuiya ya wazazi kuendelea kusikiliza na kutatua Kero za makundi mbali mbali likiwemo kundi la Machinga,ametoa kauli hiyo leo wakati akimkaribisha katibu mkuu wa jumuiya ya wazazi Taifa Alli Hapi kwenye uwanja wa Mwembetogwa
Meneja wa Kanda wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya nyanda za juu kusini Boniface Shoo amesema TCRA hawajatoa maelekezo yoyote ya usajili wa makundi ya Whatsapp .
Meneja wa Kanda wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya nyanda za juu kusini Boniface Shoo akizungumza na watoa huduma za mawasiliano wakiwemo wamiliki vya mtandao ya kijamii na vituo vya radio mkoa wa Iringa Leo katika ukumbi wa Maktaba ya mkoa ya Iringa
HABARI KUBWA MAGAZETINI LEO JUMAPILI APRIL 21/2024:NI YANGA KUIGAGADUA SIMBA SC TENA | https://t.co/Vu8oKP5eKj
*PAKUA APP YA MATUKIO DAIMA*
https://t.co/Z4IXXrw9Wj