Nawashukuru nyote kwa salamu nyingi za kheri na upendo katika kumbukizi ya miaka minne ya Kiapo cha kuitumikia nchi yetu katika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tuungane pamoja kumuomba Mwenyezi Mungu aendelee kuibariki nchi yetu, tudumu katika umoja, amani na utulivu. Tumuombe pia Mwenyezi Mungu aendelee kutuongoza katika utu na weledi kwenye utekelezaji wa majukumu yetu, na kuzibariki kazi tunazozifanya katika kuleta ustawi wa nchi yetu na Wananchi wote.
Kazi na Utu, Tunasonga Mbele.
Ahsante Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Marekani, @KamalaHarris kwa safari yako ya kihistoria Tanzania. Safari hii na utekelezaji wa tuliyojadiliana vitasukuma mahusiano ya Tanzania na Marekani kwenda mbele zaidi kwa manufaa ya nchi zote mbili. Safari njema, na karibu tena Tanzania.
Leo tumezindua rasmi program ya kuzungumza na wanafunzi wa shule za Sekondari hasa wa kike katika Mkoa wetu wa Iringa juu ya changamoto kubwa tuliyonayo na kukithiri kwa mimba za utotoni pamoja na kuwatia hamasa ya kufikia malengo yao.
.
.......1/2
Katika ukaguzi wa ujenzi na uwekaji wa jiwe la msingi wa kituo cha afya Chole. Serikali imetoa tsh millioni mia nne kwa ajili mradi huu, shukrani nyingi kwa mhe. Rais Dkt Magufuli bila kumsahau mhe. mbunge wa jimbo la Kisarawe S.Jafo.
Hongereni sana wana Chole kwa kazi nzuri.
Today is @earthhour Day! We’ve joined @HappynessSeneda Kisarawe DC, community & schools, TFS & Mikoko Scout Group to plant trees in Kazimzumbwi Forest Reserve. Join us and #connect2earth
Earlier today with Kisarawe District Commissioner and WWF’s forest specialists from across the globe planting native trees to help restore Pugu forest reserve
Leo February15, 2018 nilikuwa hewani #PowerBreakfast Cloudsfm - nikiongelea masuala ya Elimu na mambo mbalimbali ya maendeleo wilayani kwetu (Kutangaza fursa zinazopatikana Kisarawe) .
Asante sana @masoudkipanya@barbarahassan @fredwaatz @CloudsMediaLive kwa nafasi hii.
#HappyBirthday mama wa mfano uliyeandika historia ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa Makamu wa Rais Tanzania (@samiasuluhu), hakika umetufungulia milango!!
Mungu akupe maisha marefu na yenye baraka.
#HappyBirthdayMamaSamia.
#Hapakazitu