DHARAU KUBWA HII.Unazindua Bwana la Mwalimu Nyerere kujazwa maji!!Unamualika Mzee Mwinyi una mpuuza Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.January Makamba,Rais Samia sio Mama yako ni Rais wa Nchi. Punguza dharau.Kesho ni ndefu sana. Unajua Mama akupigiwa kura ? Mambo huwa yanageuka sana.