@SuluhuSamia Shikamoo mama Rais, Maisha yamekua ghali sana hasa kwa wafanyakazi wa sector binafsi mfano wanaofanya kwenye miradi mbalimbali nchini. Naomba rudisha Fao la kujitoa kwa wafanyakazi hinafsi ili pesa zao ziweze kusaidia kujiajiri wanapokua hawana miradi ningine. Asante.
@HildaNewton21 Hata Katoliki utaratibu ndo huu, I think KKKT copied from RC..But why mtu usipate muda wa kushiriki mambo ya kanisa while mengine tunashiriki??
@NormanJonasMD@MabalaMakengeza Dr. Pls hibi watoto ambao siwezi wafukiza na pia Tangawizi wanalia inawasha naweza kuwa nawapa nini kwa kuwakinga tuuu...Maana hali inaogopesha. Thanks kwa kuelimisha.
@FlavianaMatata Na kama familia inajiweza zaidi basi ikate ile ya NHIF ambayo ina premium kubwa zaidi kwa 1.5ml.
Au wakayieni watoto under q8yrs kwa Tshm50,400/= tuu. Hutajuta pindi mtoto amepatwa na madhira ya Afya.
Thanks @flavianaMatata kwa kutukumbusha.
@FlavianaMatata Very true...Ukweli kwa sasa ziko improved sana like hiivya iMproved Community Health Fund(iCHF) Tsh. 150,000/=kwa familia ya watu 6..Yaani Baba, Mama na Watoto/Tegemezi 4.....Unapata huduma zote....Gharama hii ni kwa Mjiji but kwa vijijini ni Tsh30,000/=.