@TanzaniaLeaks Alafu mwanakwetu elewa kua binadamu wote ni sawa lakini sio sawasawa. Huwez kua sawa na Waziri Mbunge hawez kua sawa na Diwani Rais hawez kua sawa na waziri haiwezekani hao jamaa wapo kwenye fungu la kupata kuna sisi tupo kwenye fungu la kupatana mzee tulieni msizue taharuki
@SuluhuSamia Mama watu walikua wengi sana shoda location ilikua mbali mno kutoka Makunduchi round about kwenda kwenye mkutano kama wangefanyia uwanja wa karibu pale usingeweza hata kupita but wengi hawakufika kule kutokana na umbali. Though was fantastic start. Wish you the best.
@realDonaldTrump Mr. President, why you beat Iran ๐ฎ๐ท who didn't nothing to your country? Is Israel USA? Please explain so that the world ๐ will understand. @DonaldTrump