Ukitoa hisia mkuu,utakubaliana na wengi kuwa XDM mpya ina viashiria vyote vya kigaidi.Ingekua kwenye nchi zingine ambazo hawa walevi wanapenda kuzitolea mifano wangekua jela na kikundi chao kufutwa
Hii ndio shida ya siasa za labels. Leo ni 'wanaharakati' kama mbaya, kesho ni 'kigaidi' π. Mimi sipo upande wa chama chochote, ila nchi inayoheshimu demokrasia inampa upinzani nafasi ya kisheria, sio kubandikwa majina mazito.
Chama cha siasa kikifika mahali kinaona fahari kuitwa wanaharakati, usishangae siku moja wanaharakati wakawa ndio wanaowapa viongozi wa chama ratiba ya nini cha kusema na nini cha kufanya.
Harari sana,ni sawa na heche anawekewa 30M kwenye akaunti yake anazitumia.akiulizwa anasema.mtumiaji hamjuiππna hotel analipiwa na analala usi gizi kabisa na ndoto anaota
Dar Es Salaam bandari Yale inalisha zaidi ya Nchi 5, lakini wakazi wake hawajui cha kufanya.
Wanapiga Debe, wanaweka maji kwenye vimfuko ndio wauze, vibaka kila nyumba.
Elimu yetu ina mchango mdogo
Kazi ya elimu iwe kuwasaidia watu kujijua wao ni kina Nani na si kina nani.
.... Leo nimepata bahati kuongoza maombi kabla ya kunaza kwa Kesi ya uongo inayomkabili Mwenyekiti Tundu Lissu.
Nimerejea kitabu cha Issaya 33:22, nakuukumbusha umma kuwa Bwana ndie Mfalme, Mwamuzi na Mtunga sheria wa Haki.
Wamtumainiao hawataachwaa.
The chazo ambae khalifa anajifanuya kupiga watu block na kuj8dai mpenda demokrasia,ni miongini mwa wahal7fu wa vurugu nchini,taarifa ya Jaji Lila ikikmiluka staona shida wala kushangaa kuona jina lake likiwemo
Wanufaika wakubwa wa Ford Foundation Tanzania @TheChanzo na @ChangeTanzania wakiteta jambo dhidi ya Chadema.
Wanapenda demokrasia sana kana kwamba wamenyima uhuru wangu wa kuwapa maoni ila hawa ni majasusi na ni swala la muda tu kabla hawajaangaliwa kama maadui wa taifa.
Nani anaweza kupokea shilingi milioni ishirini kwenye akaunti yake halafu akasema hamfahamu aliyetuma na bado akaitumia hiyo pesa? JOHN HECHE ππππππ
"Niliagiza watu wangu wampelekee na wameniambia wamepeleka."- TAL
Huenda wanaharakati wanamuonea bure Mangi Lema π. Au labda pia ni sarcasm kwa mara ya tatu.