Men,
MENTAL WELLNESS |
Stay away from other men's wives.
Even if she is a widow,
Keep off.
Have self-respect and respect your boundaries.
Guard your mental frame.
#MasculinitySaturday
Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa Kamati Tendaji ya CHADEMA Kanda ya Pwani kwa kuniamini na kuniteua kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Sera, Ilani na Utafiti, katika kikao kilichoketi Mei 13, 2026, Dar es Salaam. Shukrani za kipekee ziwaendee wajumbe wote wa kamati hii kwa kura zenu na imani mliyoionyesha kwangu. Nikiwa nanyi, nina amani kuwa tutafanya kazi kwa ushirikiano mkubwa ili kuiwezesha Kanda ya Pwani kutimiza malengo yake na kukiletea mafanikio chama chetu, CHADEMA. #PeoplesPower #StrongerTogether ✌🏾
“Kumtafutia mtu kazi sio kumtumia tangazo la kazi aombe bali ni kumwambia tarehe flani aende kwenye interview au apeleke vyeti Jumatatu aanze kazi”
Sijui nani aliandika hii tweet ila aliandika ukweli.
Uadilifu na kujiheshimu ni tunu kubwa sana! Pale mtu mzima unapojitoa ufahamu, ukakosa haya hata kuuza utu wako kwa vipande thelathini vya fedha kama Yuda Iskariote, unakuwa umejidhalilisha na kupoteza hadhi yako. Je, kweli unapata usingizi wa amani?
#TajiriLaKihaya
Kama Uliona ile Report ya Chande kuanzia mwanzo hadi mwisho…
Regardless of the reason…
Wewe Hushindwi kumuua mtu!
Binafsi sikufikisha dakika 10💔
Ukitaka kujua kuwa hii Nchi haitaki kukua kiuchumi kimakusudi, inataka wananchi wawe masikini ni rahisi sana.
Hebu Chunguza taratibu za kusajili kampuni mpaka inakamilika kuanzia brela, TRA, leseni na Vibali
Chunguza Taratibu kodi zote zilivyo na business regulation
Kuna Wanetu nyakati zetu walikosa matokeo ya kwenda Form 5 na 6, wakiingia kujifunza biashara, tulidhani wamepotea njia bwana.
Sasa hivi mkikutana mtaani, unaomba connection.
Life at its best na njia zake 🙌🏼
"Wana pesa zangu na inapofika muda wa kula wananinulia chakula lakini mpaka, sasa sijala sio kwamba pesa hakuna ila ni mambo ya kutesa tesa watu," - Tundu Lissu
https://t.co/CuRM6pY01e