@tzkwanza2024@Jambotv_ Inawezekana tatizo sisi ni wagumu Sana kuendana na usasa hao waliotufunfisha kuhusu kuwa na magereza wao walisha hama na kuhamia ktk mfumo mpya unao zingatia haki za binadamu na sikuwa na magereza ya kikoloni
#TajiriLaKihaya
This is a 40 min documentary in 4K highlighting all of Argentina’s robberies this World Cup
And they STILL DIDN’T WIN the World Cup 😂😅🤣🙌🏽🙌🏾
Wachambuzi wa bongo 👉🏾 "Messi ile ni natural talent, Messi wenzie wanaweza wakawa mazoezini, yeye mara afunge kamba za viatu, mara awe anachezea simu, si mtu wa mazoezi sana na hapendi mazoezi, ila mlete uwanjani"
Huyo Messi mwenyewe sasa 👇🏾🤓
Hii Kazi ina Mchango Mkubwa sana Kwa Taifa 😁, Mwanangu Mmoja juzi akawa Ananiambia kuna Nchi wameifanya Hii Kuwa Ndo kazi namba Moja yenye mshahara Mrefu 🫡😁