Ee Bwana uliye waambia Mitume wako, Amani nawaachieni, amani yangu nawapa. Usizitazame dhambi zetu ila tu imani ya Kanisa lako. Upende kulijalia amani na umoja kama yalivyo mapenzi yako. Unayeishi na kutawala daima na milele, Amina🙏
Mlinde,mpende na umkinge mwanao dhidi ya surua na rubela kwa kumpeleka mwanao katika vituo vyote vya kutolea huduma za afya Nchini bure kabisa siku ya tarehe 15-18/2/2024….mwambie na mwenzio
#MeasleAndRubelaCampaign2024